Mchungaji Aliyeagiza Watu Wafunge Hadi Kufa Ashitakiwa Kwa Kuua Bila Kukusudia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchungaji Aliyeagiza Watu Wafunge Hadi Kufa Ashitakiwa Kwa Kuua Bila Kukusudia

KENYA: Siku chache baada ya kushtakiwa kwa Makosa ya Ugaidi, Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie, Mke wake pamoja na Wasaidizi wake 94 wameshtakiwa kwa mauaji ya kutokusudia ya Watu zaidi ya 400 anaodaiwa kuwataka Wafunge kula hadi wafe ili wakutane na Yesu


Hatua hiyo inafuatia Uchunguzi uliofanywa kupitia Miili ya Watu iliyobainika katika Msitu wa #Shakahola ambapo Miili 429 wakiwemo Watoto, iilionesha sababu za Vifo vilivyotokea kati ya Januari 2021 hadi Septemba 2023 vilitokana na Njaa, Kunyongwa, Kukosa Hewa au Kupigwa

Licha ya mashtaka hayo, Mchungaji huyo amekutwa hana hatia katika Makosa 238 likiwemo la Ugaidi, na hivi karibuni atapimwa Afya ya Akili ili kubaini kama anaweza kuanza kujibu Mashtaka ya Mauaji katika Mahakama nyingine


Tangu kuibuka kwa sakata hilo, Serikali ya #Kenya inayokadiriwa kuwa na Makanisa zaidi ya 4,000 yenye usajili ilianza kuweka udhibiti mkali wa taratibu za Uendeshaji wa Madhehebu ya Dini

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad