Mwamuzi aliyeipa APR bao afungiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




BAADA ya malalamiko mengi ya waamuzi wanaochezesha michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, Kamati ya Waamuzi Zanzibar michuano hiyo imetoa tamko huku ikitangaza maamuzi mazito kwa kula vichwa vya waamuzi wawili.

Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Zanzibar, Waziri Shekha amesema wanafahamu kuna malalamiko ya waamuzi wanaochezesha mashindano hayo.

Shekha alisema katika tathmini yao wamegundua kwamba wapo waamuzi wanaofanya makosa, lakini wapo wengine wanaolaumiwa kimakosa kwa sababu wadau kukosa ufahamu wa sheria za soka.

Shekha aliweka wazi kuwa kamati yao imemfungia mwamuzi wa kwanza msaidizi Yusuf Shombe Issa kwa kushindwa kutafsiri vizuri sheria kwa kuruhusu bao la kwanza la Azam na baadaye Singida Fountain Gate ambayo hayakuwa halali kwenye mchezo wa robo fainali.

Mbali na Issa, pia Shekha ameweka wazi mwamuzi wa pili waliyemfungia ni Mohamed Mwadini aliyekuwa mwamuzi wa kwanza msaidizi kwa hatua ya kuruhusu bao katika mchezo wa makundi kati ya JKU na APR akidai mpira ulivuka mstari wa goli wakati haikuwa hivyo.

"Hao waamuzi tumeona kabisa walishindwa kufanya kazi yao sawasawa kama hilo bao la Azam lilikuwa wazi kabisa kwamba mfungaji ameotea, lakini unaona mwamuzi anashindwa kufanya maamuzi hivyo, tumewafungia na kuwaondoa kabisa," alisema Shekha na kuongeza;

"Waamuzi wengine tunaona wanaonewa tu kama hawa wa mechi za jana (juzi) mabao yote yalikuwa halali kukataliwa kwa kuwa kulikuwa na kuotea sasa wengi hawajui hizi sheria. Wengine tunawasamehe hasa wale waliopo uwanjani wao wanaona mara moja tu, lakini ukija kuangalia marudio ndio unapoona waamuzi walikuwa sahihi tunazisihi timu zinazoshiriki na wao asiwe kama mashabiki."


Shekha aliongeza ingekuwa vyema, wasubiri wajiridhishe kabla ya kuja kutoa shutuma kali katika vyombo vya habari kuna makosa tunakiri, ndio kama hivi tunachukua hatua stahiki kwa wote wanaofanya vibaya."

Win Big with Bangcasino Betting
BANG
|
Sponsored
by Taboola
Unaweza kuwapenda watu
Gamondi Ashusha Straika Wa Bilioni 2 Yanga Awatuliza Mashabiki, Amtaja Aziz Ki


10
udakuspecially.com


Ratiba ya Afcon 2023 na nyakati mechi zitachezwa


3
bbc.com


Angalia Orodha Ya Klabu 10 Bora Barani Afrika


24
dar24.com


Yaya Toure atabiri bingwa AFCON 2023


1
dar24.com


Habari mpya
Gamondi Ashusha Straika Wa Bilioni 2 Yanga Awatuliza Mashabiki, Amtaja Aziz Ki


10
udakuspecially.com


Leonel Ateba arithishwa mikoba ya Mayele Young Africans


1
dar24.com


Biashara ya ‘dada poa’ yakithiri Singida


5
mwananchi.co.tz


Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu


54
udakuspecially.com


Do This Before Bed and Watch Your Belly Shrink
Matcha Slim
The New Kitchen Remodel Trends Coming In 2024 (Brilliant)
Kitchen Remodels
by TaboolaSponsored Links



2


 Unmute
 Unmute

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad