Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Haji Manara amefunguka kuhusu video iliyotrend kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mke wake Zaiylissa akishika tumbo na wengi kuhisi kuwa tayari ana ujauzito.
Akiwa kwenye kipindi cha #Sentro cha #CloudsTv amefunguka kuwa Mke wake hana ujauzito na ni ya zamani.
"Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana ujauzito"
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA