AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ahmed Ally amekasirishwa na mashabiki wa Yanga ✍️
"Mashabiki wa Nyuma Mwiko hebu acheni ushamba
Mlitaka Mayele abaki kwenye timu yenu ili afe masikini?
Yaani mpaka leo hamjazoea kuwa wachezaji wanakuja na kuondoka??, Mtaacha lini ulimbukeni??! Kama mnataka mchezaji asiondoke kwenye timu yenu kila shabiki azae mtoto wake halafu ampeke achezee timu yenu"
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK