Mbwana Samatta: Narudi Kucheza TIMU Moja ya Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mbwana Samatta: Narudi Kucheza TIMU Moja ya TanzaniaNyota wa timu ya Taifa ya Tanzania nahodha Mbwana Ally Samatta ameeleza uchu wake wa kurudi kucheza timu moja wapo ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.


Samatta anatamani kuja kumalizia soka lake nchini ili kujua namna soka la nchi hii linavyoendelea na mabadiliko yaliyopo kwani kuna mabadiliko makubwa tangu alipoondoka.


Mbwana Samatta kwa sasa anacheza katika klabu ya PAOK inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki.


Unadhani Mbwana Samatta atarudi kuitumikia klabu gani ?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad