Ahmed Ally "Mtu Yoyote Akitia Mkono MECHI yetu ya Kufuzu Robo Fainali Tunaruka nae"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Kama hakuna mnyama yoyote anaeweza kumchezea Simba mbugani basi hakuna timu yoyote tanzania hii inaweza ikaisumbua Simba tukisimama imara wanasimba hakuna mtu anaweza kuthubutu kutia mkono kwenye mechi zetu.

“Mpira ni burudani lakini mpira ni vita unapotafuta matokeo unaingia kwenye vita na kwenye vita hakuna kucheka na kima tushikamane tumnyoe Jwaneng Galaxy.

“Yeyote atakaye jifanya kiherehere tunaruka naye vibaya vibaya,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally akizungumza kwenye uzinduzi wa hamasa Keko, Jijini Dar es Salaam.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad