Dereve wa Boda Boda Aliyembaka Abiria Ahukumiwa Miaka 30

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dereve wa Boda Boda Aliyembaka Abiria Ahukumiwa Miaka 30



Mahakama ya Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma imemuhukumu miaka 30 jela Dereva Bodaboda Ruben Gerishon(24) wa Kijiji cha Mlela na kutaifisha pikipiki yake (MC 601 DLB) baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kumbaka Abiria wake Mwanamke mwenye umri wa miaka 24.

Imeelezwa kwamba Mshitakiwa alitenda kosa hilo Septemba 7 2023 akiwa njiani baada ya kukodiwa na Mwanamke huyo kumtoa katika kijiji cha Kidahwe na kumpeleka kijiji cha Mlela ambapo Mshitakiwa alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Septemba 11,2023.

Akitoa hukumu hiyo hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Uvinza, Misana Majura amesema Mahakama imejiridhisha pasipo na shaka ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka na kwamba amefungwa miaka 30 ili iwe fundisho kwa wengine
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad