Kimenuka: Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kimenuka: Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond Platnumz
Diamond Platnunz

Kimenuka: Zuchu Atangaza Kuachana na Diamond Platnumz


@officialzuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na @diamondplatnumz, atangaza 
kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.

"Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya".

Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best".
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad