Licha ya Ushindi Dhidi ya Dodoma Jiji, Yanga Bado Inajitafuta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Leo mashabiki wa Yanga watasema “muhimu pointi tatu” lakini kusema ukweli wananchi bado wanaitafuta “rhythm” yao.

Hizi mechi mbili pressing yao bado haiko sawa,pia wanakosa utulivu mbele ya goli.

Once again wananchi bado wana miss pasi ya mwisho ya Aziz Ki na hususa ni pale wanapokutana na timu zinazo funga bus.

Joseph Guede anafanya vizuri mikimbio yake hususa ni pale anaposhuka chini ku link-up na wenzake lakini bado anakosa match fitness hivyo anahitaji mechi nyingi ili kurudi kwenye level ya ushindani.

Kwa haraka iwezekananvyo Maxi anahitaji goli ili kurejesha confidence yake….kusema ukweli Sasa hivi amekuwa na papara kwenye baadhi ya matukio.

Pacome Zizuuuu….what a player that is🔥🔥atapambana mpaka dakika ya mwisho ili timu yake ishinde🙌

Itoshe kusema Muda ana D.N.A na uwanja wa Chamaz🔥

All in all kwenye mpira wa miguu kitu muhimu ni pointi tatu…na ushindi hurejesha hali ya kujiamini.

FT. Yanga 1-0 Dodoma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad