Mange Kimambi Amchamba Zuchu Vibaya Baada ya Zuchu Kudai Kaachana na Diamond "Unadhalilishwa Kila Kukicha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mange Kimambi Amchamba Zuchu Vibaya Baada ya Zuchu Kudai Kaachana na Diamond "Unadhalilishwa Kila Kukicha"
Mange Vs Zuchu

Ameandika Haya Mange Kimambi:

"We nae embu tuache, umuache Dai alafu uishije kwenye hii dunia? Huna ujanja huo. Yani wewe kuachana na Dai ni siku Dai atoke public na demu mwingine yani hapo ndo utakubali kuachana Ila hata umfumanie na mama yako mzazi hmuachi huyo..

Jamani king’ang’a hana issue huyo, anatafuta kiki. Mpeni wiki tu kanajirudisha tena kwa machozi…. lol….

Uondoke kwa Dai ukakode ka mwenzio Bi Tuks?? huoni mastaa wenzio wanavyohangaika kulea vi marioo. Hakuna wanaume bongo, we si unaona vitoto vizuri kama haviendi choo kina Paula Ila wamekosa wanaume wa maana wameishia kuzalishwa na kina Marioo sasa wewe mwenzangu na mie kijuso si utaishia kwa Harmo rapa? We hapo kwa Dai tutakutoa kwenye machela

Manyimbo yenu we na bwanako yamebuma sababu ya Dah sasa mnatafuta attention. Pumbav.

Adadarike nani we kijuso? uache kudadarika wewe unae dhalilishwa kila kucha na mwanaume ila bado wamganda ka luba, pyeeeeeee.

Nyambaf mpaka manager wako Doris umegombana nae sababu alibeba mimba ya Dai… Na bado umemng’angania mwanaume king’ang’a wahedi wewe….. Yani huwezi hata kuwa na manager coz mwanaume anamkaza na bado umeng’ang’ana. Pole shogangu 🤣🤣🤣🤣

Nyie roho inakutoka kwa Doris vile hujui status ya mimba kama katoa au ipo. Mpaka umefukuza ma dancer wooote kisa walienda babyshower/birthday party ya Doris.

Jamani king’ang’a katimua ma dancer kisa wameenda party ya mke mwezie aka manager wake wa zamani. Nyambaf leo mpaka naleta umbea wa app huku…. Ulivyo zero brain umechukia besti yako wa miaka na miaka ila Dai bado unamng’ang’ania

Nyambaf we roho inakuuma Doris kukutombea Rouhy mpaka kumbebea mimba mbona wewe ulimfanyia Aaliyah? Mjaa laana wewe….

Alafu unapendaga sana ku guess maisha yangu, last time tumechambana ulisema naishi store nikaingia live nikakushushua dakika hiyo hiyo, this time una guess mtoto wangu kaniacha, niseme mara ngapi mwanangu sio mtu wa mitandani ndo maana relationship yetu haiko huku, au nikipostie chats na facetime calls ndo ujue! Na hata mwanangu angekuwa kaniacha si bora mimi ninae huyo mtoto wa kuniacha je wewe ambae ambae mayai yamemalizwa na sickle cell? Uko 35 now mamii viyai ndo vinajikaukia kau hivyo.

Acha guess maisha yangu kijuso wewe, last time pia uliguess maisha yangu ukajifanya kuniambia bora wewe unae Dai wa kung’ang’ania mimi sina hata mtu wa kumng’ang’ania haya fast forward to today, mwenzio niko na pete kidoleni we uko na tundu kubwa kwenye makalio huna hata ndoa ya mkeka, umebaki kutoa uharo ukicheka. (Allegedly). Pole shoga yangu, dada zako wakubwa tunaolewa uzeeni we umebaki housegirl wa kina Tifa unabembeleza ndoa. Ntokeeee mie na gundu lako.

Anyways, Kiki limebumaaaaaaaaaaa, nobody is buying your BS. Miss king’ang’a ukamwache Dai?? Wewe hapo kwa Dai utatolewa kwa winchi" Mange Kimambi

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad