PETROLI, Dizel na Mafuta ya Taa Yashuka Bei

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

PETROLI, Dizel na Mafuta ya Taa Yashuka Bei


NISHATI: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Januari 7, 2024 ambapo Dar es Salaam Petroli itauzwa Tsh. 3,051, Dizeli Tsh. 3,029 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,840 kwa Lita 1

Tanga Petroli itauzwa Tsh. 3,064, Dizeli Tsh. 3,196, Mafuta ya Taa Tsh. 2,886. Mtwara Petroli Tsh. 3,112, Dizeli Tsh. 3,354 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,913 kwa Lita Moja ikiwa ni bie za Rejareja

EWURA imesema kupungua kwa Bei za Mafuta kunatokana na kushuka kwa Bei za bidhaa hizo katika Soko la Dunia kwa wastani wa 10.66% kwa Petroli, 11.20% kwa Dizeli, 5.82 kwa Mafuta ya Taa pamoja na kupungua bei za uagizaji Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad