PAUL Makonda Afunguka Kwa Wanaotaka Kumuwekea SUMU ili Wamuondoe Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

PAUL Makonda Afunguka Kwa Wanaotaka Kumuwekea SUMU ili Wamuondoe Duniani


Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Paul Makonda (@baba_keagan ) amesema Mungu hana mpango wa kumuondoa na hivyo wanaotega sumu kwenye vyumba wanajisumbua tu.


Akiongea wakati wa ziara yake Tunduma Mkoani Songwe, Makonda amesema “Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung’unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza, mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute Waganga mnapoteza muda tu, nataka kila Kiongozi awajibike kwenye nafasi yake”


“Waliopo Serikalini wote wana magari, nyumba na wanaheshimika kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kwanini hatumsaidii kazi?, tabia ya kusubiri Rais ana ziara ndiyo mnajitokeza na mkifika pale ooh Mama unaupiga mwingi hapa ni wewe tu!, ngojeni dawa yenu inachemka”


“Mimi wamejaribu jaribu sana kwamba ooh jiangalie namna unavyoenda, umri wako bado mdogo unaweza ukafa mapema! nikawambia nani anaishi milele?, ooh unapopita huko usisalimiane na Watu, masharti mengi, hii kazi kanipa Mungu, akitaka kuichukua ataichukua na hesabu nitalipa, ulikuwa Msemaji na ulikuwa unasema uongo, unafikiri napenda moto wa mbinguni?, Watumishi wa Mungu wametufundisha kuwa Waaminifu na kumuheshimu kila Mtu bila kujali kipato chake, elimu yake wala kabila lake”

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad