Aliyepanga Njama za Kumuua Mwanamuziki AKA Ajulikana...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mahakama nchini Afrika Kusini imemtaja mtu aliyewalipa wauaji wa msanii Kiernan Forbes maarufu kama “AKA”, mtu huyo ametajwa kuwa manyabiashara Sydney Munda Gcaba ambaye inadaiwa aliwalipa wauaji jumla ya Randi 800,000 (Zaidi ya TSh. Milioni 108 kwa ajili ya kutekeleza mauaji ya Rapa Huyo mzaliwa wa Cape Town.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Tarehe 11 Februari 2023 majira ya saa sita mchana Mmoja wa wauaji aliyefahamika kwa jina la Gwabeni alipokea kiasi cha Randi Laki Nane kwenye akaunti yake, fedha ambazo inadaiwa kuwa alizitoa na kugawana na wenzie.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad