Diva Amjibu Mange Kimambi "Mimi Sijali Abdul Kuoa, Mimi Ndio Nimeomba Tuachane"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Diva Amjibu Mange Kimambi "Mimi Sijali Abdul Kuoa, Mimi Ndio Nimeomba Tuachane"

Ameandika Haya Diva;

Mange dadangu Mambo

nimesoma ujumbe wako ? skia nikwambie, Mimi sijal huyo mtu kuoa My sister at all kaoa sana ndo maisha amechagua.

kingine sijawahi mngangania, ila kuomba Mume Mwenye kunijal kunipenda si dhambi na kiukweli nimeanza tamkiwa kuolewa nikiwa 23 na nilikataa ndoa ya moja kati ya wanasiasa maarufu sana Tanzania ambae kipindi hicho alikuwa waziri ktk sekta flan apa nchini.

kila kitu changu unakiundia tume,ili upate views n comments .. maana last time checked this is My life.

nilitangaza ndoa ya kikristo n everyting sababu ya Tangazo la @lucy_bridal_solution na uyo unaemtaja kwamba nilitaka mkomoa alikuwa anajua vizur kinachoendelea ndio maana hajastuka .. aoe kitoto kibinti bibi au yoyote hainihusu, last time checked da mange i asked him to divorce me kwanza kabla ya story ya kuoa ... kingine sasa nikiomba Mungu anipe mume we unaumia nn mbona we uliolewa ukafanyiwa vitimbi na ukaibiwa Mume na mtu ambae pia alikuwa mdogo kwako na baba watoto wako alikuacha .. abdul hajaniacha mimi aisee ongea nae vizur akuelezee kila kitu .. issue yangu na huyo mtu unaehisi kanifunga ni heshima tu sababu alinioa na niliamua kumuheshimu bila kuwa na wanaume wala kumfanyia kama yeye alivyofanya. my sister pls let me breath stak drama na mtu yoyote mi siez pigizana kelele na abdul kisa kaoa mtu kamaliza form 2 which mwenyewe anadai ni tangazo la mambo yao wanao shoot ..

sasa mimi abdul mambo yake yananihusu?

kwan mi na yeye tulioana au tuliokotana my sister , taratibu ni ukiacha mwanamke toa talaka, kusema au kuandika so awe free yeye hajafanya hivyo .. wewe kila kitu Diva Diva Diva dadangu si ulisema sina nyota asa mbona kila daily unanitumia ktk content zako? unaanzaje mtumia mtu miaka nenda rud ktk content zako kama hana nyota? huyo unaesema kaolewa nae mi ananihusu nn jaman au story za abdul kuweka bila kuniingiza inakuwa hainogi na haina views ? maana sikuelewi, mbona hukuwa unampost kabla hajanioa jaman au ndio Diva na kanyota kake?

nasema Mungu anipe Mume Ataenipenda niheshimu na kunithamini i deserve it we mbona umeolewa tena na una mume na uko 40 something nani kakukataza dada? My life my choices na sijawahi mnangania abdul juzi umesema nimemlilia. una hakika?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad