Mange Kimambi Aingilia Kati Bifu la Niffer na Resty "Kila Mtu Apambane Vita yake, Biashara ni Vita"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Kimambi Aingilia Kati Bifu la Niffer na Resty "Kila Mtu Apambane Vita yake, Biashara ni Vita"

Ameandika Mange Kimambi:

"Nimeombwa sana na raia nitie neno kuhusu hii issue ya Resty na Niffer, Ila hata wasingeniomba ningetia neno tu maana mimi nishajiteuaga kama jaji mkuu wa instagram upande wa Tanzania.

Guys, mimi sijaona kosa la yoyote hapo, Niffer is talking shit about biashara za wenzie ili yake izidi kukua which by the way ni kitu wafanyabiashara wengi hufanya. Biashara ni ujanja and clearly Niffer kawazidi kete wafanyabiashara wenzie. Niffer kajua kuchanganya biashara na controversy, kajua ku add na drama humo humo.

Hakuna kitu waTz wanafagilia kama negativity na drama, Niffer amemaster hivyo vitu. Anajua jinsi kuongea vitu vya kufanya atrend na biashara yake itrend, kwa kifupi ka demu kajanja kwenye biashara. Kumbukeni hata biashara ya Faiza ilikuwa through drama, isingekuwa ule utapeli alifanya Faiza angekuwa na mafanikio zaidi ya Niffer, na hiyo yoote ni sababu Faiza ana drama sana so akajijengea na biashara hapo hapo through drama za Sugu. Watz ukiwaletea drama za kutosha pesa watakupa tu....

Kwa upande wa Resty hata yeye hajakosea, she is fighting for her business. Mtu kaongea kitu ambacho kina affect biashara yake she has to defend her business, sio kwamba Resty ana wivu na Niffer, no anapambania maslahi yake. Ila mi ningekuwa Resty ninge fight more dirty sio tu kudefend business yangu ila niangeanza ku attack business yake pia ili ajue utamu wa mtu kukuharibia biashara , yani ningetembea na huo upepo wake mpaka akili ingemkaa sawa mpaka angeacha kabisa kukandia biashara zingine. Seriously though unakubaliaje kuambiwa unauza vipodozi feki na mtu ambae yeye mwenyewe yuko Deira ananunulia watu perfume, kuna perfume feki duniani kama za Deira? Unaambiwa unauza kitu feki na mtu ambae ananunulia watu iphone za Deira? Unakubalije kuambiwa unauza vipodozi feki na mtu ambae yeye mwenyewe ananunua vipodozi Deira?

Kwa kifupi kina Resty na wafanyabiashara wengine kuliko kulia lia kila siku na hizi dirty business tactics za Niffer inabidi mzi adopt tactics zake maana clearly they work. Akiwapiga ngumi za uso nyie mpigeni za mbavu kabisa.

Kwa kifupi nachosema kila mtu apambane vita yake, biashara ni vita….. CASE CLOSED!!!" Mange Kimambi

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad