Ndege Mbili Zagongana Angani Kenya, Wawili Wafariki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mid air plane coallide
Mid air planes coallide

Mwalimu na Mwanafunzi wa Shule ya Urubani wamefariki baada ya Ndege ndogo ya mafunzo kugongana na Ndege ya Abiria katika anga la Hifadhi ya Taifa ya #Nairobi na kusababisha Ndege ndogo kuanguka

Ndege kubwa, Dash 8 inayomilikiwa na #Safarilink Aviation iliyokuwa na abiria 39 pamoja na Wafanyakazi 5, ilikuwa ikielekea katika Mji wa #Diani ndipo Wafanyakazi waliporipoti mlipuko mkubwa muda mfupi baada ya kuruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Wilson na kuamua kurudi

Mamlaka ya Anga ya Kenya imesema ajali hiyo imetokea Machi 5, 2024 majira ya Saa 4 asubuhi na Uchunguzi zaidi unaendelea
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad