AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Huenda hii ikawa ni taarifa mbaya kwa mashabiki wa Al Ahly duniani kote kufuatia Kiungo wa fundi na tegemeo Emam Ashour kushindwa kuendelea na mechi ya Egypt dhidi ya New Zealand kutokana na majeraha ya bega aliyoyapata.
Ashour amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu zaidi. Wiki Ijayo Klabu yake ya Al Ahly itakuwa na Mchezo wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa dhidi ya Simba SC.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK