Sababu Vijana Kuongoza Maambukizi ya VVU zatajwa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Sababu Vijana Kuongoza Maambukizi ya VVU zatajwa!

Maambuzi ya virusi vya ukimwi nchini yanatajwa kupungua kutoka kiwango cha asilimia 4.7 (mwaka 2016) hadi 4.4 (mwaka 2021 - 23) ambapo kundi la vijana linatajwa kuwa kinara kwenye ongezeko la maambukizi mapya ya ukimwi.


Inatajwa kuwa kundi la vijana ndilo linaloongoza kuwa na maambukizi ya mapya ya ukimwi kitendo ambacho Serikali imeanza kuweka mipango ya kudhibiti maambukizi hayo.


Akizungumza katika uzinduzi na utambulisho wa programu ya kizazi hodari, afisa kutoka Tume ya Taifa ya kudhibiti ukimwi, Calvin Kisoma amesema kundi la vijana linaloongoza kuwa na maambuzi ya ukimwi huku akitaja sababu kuwa ni umasikini na lika balehe.


Mkurugenzi mshiriki ofisi za kada, mradi wa USAID Kizazi Hodari, Issa Muushid amesema, mradi huo utafanya kazi katika halmashauri saba za mkoa wa Mwanza na kulenga kundi la vijana kuanzia shuleni ili kupambana na maambukizi ya virusi vya ukimwi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad