AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Muda na tarehe za mechi za Robo Fainali za Ligi ya Mabingwa kwa michezo ya Simba SC na Yanga SC umetangazwa ambapo Yanga atakipiga Marchi 30, 2024 huku Simba akitangulia Marchi 29.
Simba atakuwa nyumbani kuwaalika Al Ahly huku akiwaalika Mamelodi Sundowns. Michezo hiyo yote itapigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam majira ya saa 3: 00 usiku.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK