Golikipa wa Singida Fountain Gate David Kakolanya Atoroka Kambini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Golikipa wa Singida Fountain Gate David Kakolanya Atoroka Kambini

Golikipa wa Singida Fountain Gate Beno David Kakolanya ametoroka kambini ikiwa leo timu yao inacheza mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Yanga SC

Singida Fountain Gate wametoa taarifa inayosema

Klabu ya Singida Fountain Gate FC inasikitishwa na kitendo cha mchezaji wetu Beno Kakolanya kutoroka kambini tukiwa tunakabiliwa na mchezo muhimu kabisa dhidi yaYanga leo.

Kitendo hiki kinaleta maswali mengi hasa ukizingatia kuwa Beno na mchezaji mzoefu
na mmoja wa wachezaji wa kutumainiwa wa timu ya Taifa.

Tunaendelea kufuatilia taarifa zake na wachezaji wengine wowote ambao wataonekana kuihujumu timu yetu
kwenye mechi ya leo na nyingine zinazofuata.

Mwisho wa kunukuu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad