Harmonize Awavuruga Waislam "Afute Haraka Ujumbe wake"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Harmonize awavuruga Waislam "Afute haraka ujumbe wake"


Msanii Harmonize ameingia katika mzozo na waumini wa dini ya Kiislamu huku wakimtaka afute mara moja maneno yake alioandika akimfananisha Mwenyezi Mungu na Mwanamke.


Kwa mujibu wa kile alichoandika kupitia Insta Story yake leo, Msanii huyo anasema imemchukua miaka 30 kugundua ya kuwa pengine Mungu ni Mwanamke kwa asilimia Kubwa.


Mmoja ya waumini wa Dini ya Kiislamu Sheikh Masoud @altamimytraveltz akizungumza nasi amemtaka Harmonize kufuta haraka maandishi hayo akisema Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa imani ya dini ya Kiislamu ambayo Harmonize ni muumini wa dini hiyo, hafananishwi na chochote.


“Huu ni msiba mkubwa kwa kijana wetu Harmonize” Anasema Masoud kutoka @altamimytraveltz moja ya Kampuni ambazo zimekuwa zikipeleka mahujaji Makka.


“Anapaswa afute haraka mno maneno haya” amesema Masoud.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad