Harmonize Mwamba Sana Amjibu TENA Diamond Platnumz " Huwezi Kunilipa Milioni 600"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Harmonize Mwamba Sana Amjibu TENA Diamond Platnumz " Huwezi Kunilipa Milioni 600"


Harmonize ajibu mapigo, amuonya @diamondplatnumz adai hana uwezo wa kumlipa milioni 600 ili atumbuize pamoja.

"Tatizo masikini huyu hukumbuka wanawe akishakusanya mali zake, Anyway haiwezi kuja tokea, Hiyo miaka 15 maana millioni 600 kunilipa hutoweza!"

Usiku wa kuamkia leo @diamondplatnumz alitangaza onyesho maalum la miaka 15 katika muziki, akitamani uwepo wa wasanii ambao amewatoa kimuziki. Baada ya onyesho, Harmonize aliingia kwenye IG Story akidai kuwa amechoshwa kutajwa kila siku kuwa ametolewa na mmiliki huyo wa lebo ya WCB Wasafi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad