Mchezaji Max Nzegeli Amerudi Katika Ubora Wake, Anapiga Mpira sio wa Nchi Hii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wananchi wanao kikosi kipana na chenye wachezaji wenye ubora mkubwa sana !.. wakati watu wanalia perfomance ya Maxi imeshuka wakati wanasema Wananchi walipigwa pale ni mchezaji wa mechi ndogo tu , sahivi ndio wanapiga magoti kutoa utukufu kwa kitu anachofanya .

Maxi Nzegeli Mpia mwamba amerejea kwenye ubora wake , sio kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji tu!.. Maxi aliupiga mwingi sana dhidi ya Mamelodi : yupo vizuri sana pale anapokuwa na mpira na hata timu isipokuwa na mpira anafanya vitu vya kimsingi …. Kasi , nguvu na Sharpness kwenye maamuzi .

Mwamba amerejea na Wananchi ni kama vile wametimia 😀 No Pacome , No Yao . lakini wanaenjoy soka safi la Gamondi .
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad