Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Watu wanane wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la kampuni ya Lujiga Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kuligonga lori kwa nyuma lililokuwa limeengeshwa barabarani baada ya kuharibika katika Kijiiji cha Mseko kilichopo katika Kitongoji cha Malendi Kata ya Mgongo na Tarafa ya Shelui mkoani Singida.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA