Ally Kamwe Alia na Mashabiki Kulipia Kadi za Uanachama ili Wamalize Sakata la Kambole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





“Kama na wewe ni sehemu ya watu walioguswa na Taarifa ya Kudaiwa na Kambole na mpaka sasa Hujalipia Kadi yako ya Uwanachama, Basi Tambua wewe ndio Unashiriki kwa Asilimia kubwa kuirudisha nyuma Klabu yako”

“Viongozi wanaumiza sana vichwa kuhakikisha wanabuni vyanzo mbalimbali vya kuongeza Pato la klabu yetu na kumsaidia Bosi wetu GSM katika kuipeleka Klabu yetu kwenye Nchi ya ahadi Niwaombe, Tuwasaidie VIONGOZI WETU”

Sisi Wanachama Jukumu letu kubwa kwa sasa ni KULIPA ADA zetu kila Mwaka. Hili ni MUHIMU mno na Ndio linapaswa kutuumiza mno pale unapomuona Mwananchi mwenzako akiwa anavimba na @yangasc na Hajalipia Ada yake ya Uwanachama” @alikamwe Afisa Habari na Mawasiliano, Yanga Sc.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad