Azam FC watinga kwa kishindo Robo Fainali Kombe la CRDB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Azam FC watinga kwa kishindo Robo Fainali Kombe la CRDB


Timu ya Azam FC imekamilisha idadi ya timu nne za Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayotambulishwa kama CRDB Bank Federation Cup baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Namungo FC usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.


Mabao ya Azam FC leo yamefungwa na viungo, Muivory Coast Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon dakika ya 10, Iddi Suleiman ‘Nado’ dakika ya 15, Feisal Salum Abdallah dakika ya 19 na Mgambia, Gibril Sillah dakika ya 52, wakati bao pekee la Namungo FC limefungwa na kiungo pia, Ayoub Semtawa dakika ya 45 na ushei.


Azam FC sasa itamenyana na Coastal Unión katika Nusu Fainali ambayo juzi iliitoa Geita Gold kwa kuichapa bao 1-0 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.


Nusu Fainali nyingine ni baina ya mabingwa watetezi, Yanga dhidi ya Ihefu ambayo iliitoa Mashujaa FC kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0 juzi pia Uwanja wa LITI mjini Singida.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad