Babu Tale Ammwagia SIFA Kedekede Jay Melody

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Babu Tale Ammwagia SIFA Kedekede Jay Melody
Babu Tale na Jay Melody

Meneja wa WCB na mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale, amempongeza msanii Jay Melody baada ya kuisikiliza album ya mkali huyo iitwayo ‘Therapy,’ aliyoiachia siku za hivi karibuni.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Babu Tale ameandika "Nimesikiliza albamu yake nzima kwa hakika hakuna wimbo wa kupeleka mbele kwa maana zote zinamsukumo wa kusikilizwa zaidi ya mara moja kisha unafuata nyingine "


Pia Babu Tale ameahidi kumpa ushirikiano msanii huyo endapo siku moja atatamani kufanya tamasha kubwa pale mjini Morogoro.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad