Eng Hersi Ataki Utani Kabisa, Apanda Ndege Kwenda Kutafata Wachezaji Congo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma hili Rais wa klabu hiyo, Hersi Said yupo jijini Lubumbashi, DR Congo akiwafuata mastaa wawili wapya.

Tuanze na juzi. Hersi alikuwa Uwanja wa Kibasa Maliba akitazama mchezo wa Ligi Kuu ya DR Congo Lubumbashi Sport dhidi ya TP Mazembe uliomalizika kwa suluhu. Kwenye mchezo huo Lubumbashi Sport anayoichezea beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ikicheza soka la kujilinda ikainyima ushindi Mazembe na baada ya mchezo huo Hersi alifanya kikao kifupi na Ninja akitaka kufahamu maendeleo yake lakini ziara yake ikaendelea na jana akitua kwenye mchezo mwingine mgumu.


Jana Hersi akatua Uwanja wa Victoria kutazama mechi nyingine ya Ligi Kuu nchini humo kati ya AS Union Maniema dhidi ya FC Lupopo lakini Arena tunafahamu kigogo huyo aliyeibadili Yanga kwa hesabu kali za usajili aliwafuata mastaa wawili kutoka kwenye timu zote hizo.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad