Haji Manara "Kibu Denis ni Mshambuliaji HATARI ni vile tu yuko Timu Mbovu Isiyokuwa na Mwelekeo"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Haji Manara "Kibu Denis ni Mshambuliaji HATARI ni vile tu yuko Timu Mbovu Isiyokuwa na Mwelekeo"

“Huyu Jamaa akipata maelekezo kidogo tu hakuna anaemsogelea nchini katika Washambuliaji local, ni vile tu anacheza Club ambayo haishindi Mataji makubwa na iliopoteza mwelekeo wake”

“Kibu akipata Team imara kisha akazungukwa na mafundi uwanjani ni hadithi tamu mno kumuona akicheza,ana offer vtu vingi ambavyo Strikers wetu hawana. Kibu Denga ni Mtu wa maana kabisa au Wananchi mnasemaje? 😜” Haji Manara.

WAHITIMU WA CUBA MEMUELEWA BUGGATI? 😳😳
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad