Header Ads Widget


Yanga Wanamtaka Chama Kwa Udi na Uvumba, Eng Hersi Kuvunja Kibubu


Yanga Wanamtaka Chama Kwa Udi na Uvumba, Eng Hersi Kuvunja Kibubu

Yanga wamefungua upya mazungumzo na kiungo wa Simba Chota Chama✍️

Seriously Yanga wanamuhitaji Chama na msimu uliopita ilibaki kidogo mchezaji huyo ajiunge na Wananchi.

Mkataba wa Chama na Simba utamalizika rasmi mwishoni mwa msimu huu na Kama Kila kitu kıtaenda Sawa atatambulishwa Jangwani.

Iko wazi Rais wa Yanga ni shabiki mkubwa wa Chama na imekuwa ndoto yake kufanya Kazi na Mzambia huyo.

Kwa upande wa Simba wako tayari kuachana na Wachezaji kadhaa Kama vile Saido na Luís Miquissone Ila Siyo Chama….na mwenyekiti wa Bodi Try Again angetamani kujenga Simba mpya inayo mzunguka Chama……Ila kwa sasa Yanga wameingilia kati✍️

Post a Comment

0 Comments