Kibu Denis Adengua Kuongeza Mkataba Simba, Yadaiwa Kapata Timu Dar ya Kumlipa Milion 12 Mwezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



"kibu Denis Sasa anaidengulia Simba Kuongeza Mkataba" - Jemedar Said

Muandishi wa habari za michezo @jemedarisaid amebainisha kuwa kibu Denis amekuwa akigoma kuongeza mkataba ndani ya klabu ya Simba yapata Miezi kumi sasa tangu aanze kubembelezwa aongeze mkataba, Jemedar amesema mchezaji huyo amekuwa akizunguka zunguka kuongeza mkataba ndani ya Simba pamoja na kupewa mahitaji yote anayoyataka, Mara anataka meneja wake awepo , mara kapata timu Norway mara anataka mpaka kaka yake ambaye yupo kigoma awepo

Ikumbukwe mkataba wa Kibu Denis na Simba unaisha mwishoni mwa Msimu huu lakini kijana anagoma kuongeza mkataba

Jemedar amesema kuwa Kwa taarifa za uhakika alizonazo ni kuwa Kibu Denis amepata ofa moja ya timu za hapa Daresalaam ofa ya miaka miwili ambayo atapata hela ya usajili 300M na mshahara wa 12M Kwa mwezi na ndio maana anawachenga chenga Simba

Akina Nani hawa wanatonesha kidonda cha Manyama?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad