Kila Klabu Kupata Bilioni 138 Baada ya Kutinga FIFA Club World Cup

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Al Ahly Sporting Club, Wydad Athletic Club, Mamelodi Sundowns na Esperance Sportive de Tunis wataiwakilisha Afrika 🌍 kunako michuano ya FIFA Club World 🌎 Cup 2025 huko Marekani.

Michuano hii itaanza June 15 na kufikia tamati July 13,2024 mchezo wa fainali utapigwa .

Al Ahly, Sundowns, Wydad na Esperance Kila mmoja atakunja MPUNGA mrefu sana Bilioni 138 Kwa pesa ya Kitanzania Kwa kushiriki michuano hiii mikubwa Kwa ngazi ya Klabu hapa Duniani inayo simamiwa na FIFA.

😁Kweli tajiri huongezewa Bilioni 138 si wanakuja kufanya usajili mkubwa sana huku .

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad