MCHAMBUZI "Kibu Denis sio Wakuidengulia Simba, ni Mchezaji wa Kawaida Sana"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchambuzi wa soka hapa nchini @wilsonoruma_ amemshangaa mchezaji wa Simba Kibu Denis kudengua kuongeza mkataba ndani ya klabu hiyo, mchambuzi huyo amesema kuwa Kibu ni mchezaji wa kawaida sana wala hakupaswa kuwa mjanja mjanja kuongeza mkataba Simba

Oruma amesema kuwa ukiachana na kumfunga Yanga magoli mawili kwenye ule ushindi wa Simba wa 2-0 na lile goli alilofunga Simba ikipoteza 5-1 Kibu hana kitu cha maana cha ziada

Oruma ameenda mbali akisema Kibu Denis sio mchezaji wa timu kumtegemea kushinda makombe au kufika nusu fainali ya Ligi ya mabingwa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad