Msimu Ujao Tunaweza Kuwaona Chama & Aziz Ki wakiwa Timu Moja....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa tetesi za Usajili zinariporti msimu ujao tunaweza kuwaona Chama & Aziz Ki wakiwa timu moja !.. Chama bado ajasaini Mkataba wa kuendelea kusalia Simba japo tayari Simba wameshampa ofa ya mkataba mpya .

Kumekuwa na tetesi nyingi hasa kwenye madirisha kadhaa ya usajili yaliyopita kuwa Chama yupo kwenye rada za Yanga , lakini safari hii inaonekana kuwa serious kutokana na nyota huyo baada ya msimu kuisha atakuwa mchezaji huru .
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad