Samia Scholarship Yafadhili Wanafunzi 1220

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Samia Scholarship Yafadhili Wanafunzi 1220


 Serikali imeendelea kuimarisha fursa za upatikanaji wa elimu ya juu kupitia utoaji wa mikopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu ambapo imetoa ufadhili kwa Wanafunzi 1,220 kati ya 1,200 waliolengwa (Wanafunzi wapya 915 na wanaoendelea 305) wenye jumla ya Tsh. 6,367,169,632.00 kupitia SAMIA Scholarship.


Akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2024/2024, Prof. Mkenda amesema Serikali pia imetoa mikopo kwa Wanafunzi 229,652 (mwaka wa kwanza 83,640 na wanaoendelea 146,012) yenye jumla ya Shilingi 786,724,730,000.00”


“Serikali pia imetoa mikopo kwa Wanafunzi 2,299 wa ngazi ya stashahada yenye jumla ya Shilingi

6,114,790,500.00 na imekusanya jumla ya Shilingi 132,731,358,063.47 sawa na asilima 55 ya lengo la kukusanya Shilingi bilioni 241 kutokana na mikopo iliyoiva”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad