Vladimir Putin Mwamba Sana, Kuapishwa Kuwa Rais Kwa Kuhula wa Tano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vladimir Putin Mwamba Sana, Kuapishwa Kuwa Rais Kwa Kuhula wa Tano


URUSI: Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Mei 7, 2024 kuendelea kuliongoza Taifa la Urusi kwa kipindi kingine cha Miaka 6 huku akiwa ametawala kwa Miaka 24

#Putin alishinda Urais kwa takriban 87% ya kura zote katika Uchaguzi uliofanyika Machi 2024 ikiwa ni baada ya kufanyika mabadiliko ya Katiba yanayoruhusu aweze kugombea Uraisi hadi mwaka 2036

Kiongozi huyo anarejea katika Utawala wakati ambao vita kati ya #Russia na Ukraine iliyoanza Februari 24, 2022, ikifisha Miaka 2 na Miezi 2

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad