Simba Hali Mbaya, Kutoka Kupigania Ubingwa Mpaka Kupigania Nafasi ya Pili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Simba Hali Mbaya, Kutoka Kupigania Ubingwa Mpaka Kupigania Nafasi ya Pili

Kutoka kupigania ubingwa mpaka kupigania nafasi ya pili na Azam FC, mpaka ilivyo sasa hata tukishinda mechi zetu zote za viporo bado Azam anakuwa juu yetu yaani hata tukimfunga, maana yake ni kuwa tuna uwezekano mkubwa zaidi wa kumaliza nafasi ya tatu msimu huu na utishia nafasi ya kushiriki Michuano ya klabu bingwa Afrika.


Sijaumizwa na matokeo, siumizwi na kupotea njia, kinachoniuma zaidi ni kuwa: - Nani wa kutuonesha njia mpya? Majibu ni Viongozi, wapo? Jibu ni SIJUI. - Tunaweza kurejea kwenye ubora? Jibu ni NDIO, lakini tunarudije? Kwa njia ipi? Hatujui.


- Ukitazama kikosi chetu, Wachezaji muhimu unawaona watabaki kwenye peak kwa muda mrefu? Jibu ni HAPANA, Je una wachezaji wa maana wadogo wanaokuja? Jibu ni Hakuna.


Dark period in Simba Sports club history, inaumiza tu saana hii timu! Tulipofika hapa team ishastuck, graph inashuka na mbele ni kiza tu, tumebaki na maneno maneno tu meeengi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad