Yanga Vs Mashujaa Leo, Gamondi Atoa Kauli ya Kibabe Kuhusu Ubingwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Yanga Vs Mashujaa Leo, Gamondi Atoa Kauli ya Kibabe Kuhusu Ubingwa

Kocha Mkuu wa Yanga, Angel Miguel Gamond amesema wanazitaka alama tatu kutoka kwa Mashujaa FC ili kuendelea kujihakikishia kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu.


Yanga ambao wanahitaji alama 9 pekee kuwa mabingwa wa Ligi Kuu kwa mata ya 30, watashuka Dimbani leo katika Uwanja wa Lake Tanganyika kukipiga na Mashujaa FC ya Kigoma.



"Kwanza kabisa napenda kusema asante sana kwa Mashabiki wetu hapa Kigoma, mapokezi tuliyopata leo (jana) kutoka Uwanja wa Ndege mpaka hotelini sijaamini! hii inaonyesha ukubwa na upendo wa Mashabiki kwa Young Africans SC.


"Tumejiandaa vizuri na mchezo wa kesho (kesho) na tunafahamu utakuwa mchezo mgumu, sisi tunahitaji alama 3 na najua na Mashujaa na wao wana uhitaji mkubwa na alama hizi. Lakini ili tuwe mabingwa ni muhimu kupata alama 3 kwenye kila mchezo tunaocheza," Miguel Gamondi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad