Stamina Afunguka Kilichomuua Director Khalfan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Stamina Afunguka Kilichomuua Director Khalfan

Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii.


Amesema kwa taarifa ambazo alikuwa anazijua, ni kwamba Dairekta Khalfan alianguka akiwa kazini na baadaye akapelekwa Hospitali ya Lugalo kabla ya kuhamishiwa Muhimbili (MOI) na kusisitiza kwamba yeye siyo msemaji bali familia ndiyo inayoweza kueleza ni nini hasa kilichotokea.


Dairekta Khalfan amezikwa juzi katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, huku wasanii wengi wakihudhuria mazishi hayo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad