Simba Yakataa Tamaa Ligi Kuu, Mchezaji Afuguka Kinachoendelea Ndani ya Timu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Simba Yakataa Tamaa Ligi Kuu, Mchezaji Afuguka Kinachoendelea Ndani ya Timu
Kocha Simba Juma Mgunda


Winga wa Klabu ya Simba, Edwin Balua amesema kuwa malengo yao kwa sasa ni kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu ya NBC ili wapate nafasi ya kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika.

Balua amesema hayo jana mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa ligi dhidi ya tabora United huku mchezo huo ukimalizika kwa Simba ambao wapo nafasi ya tatu kushinda bao 2-0 na Balua akifunga bao a pili.

“Hamna siri yoyote zaidi ya matumizi ya mwalimu kwa mchezaji husika kama ameona ninaweza kufiti kwenye mfumo wake ndiyo maana unaniona uwanjani. Aina ya mabao ninayofunga ni kutokana na maelekezo ya mwalimu na jitihada zangu pia. Tofauti na mazoezi ya timu ninafanya mazoezi binafsi kwa muda wangu binafsi.

“Malengo yetu makubwa ni kuhakikisha tunaipata nafasi ya pili ili tuendelee kushiriki mashindano ya kimataifa yanayokuja, hilo ndilo muhimu. Mashabiki waendelee kutusapoti wasiichoke timu,

wasituache. Sisi tunawategemea wao na wao wanatutegemea sisi,” amesema Balua.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad