TETESI: Aziz K Agomea Mkataba Mpya Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo chetu kutoka "MDC Agency" ambacho kilizungumza na mwandishi wetu @oumar_bulla kimeeleza kwamba mpaka sasa hakuna makubaliano ya kimkataba baina ya @yangasc na mchezaji Aziz Ki, "Mkataba wa Aziz unaisha mwisho wa msimu huu, sidhani kama mteja wangu "Aziz Ki" tutaongeza mkataba na klabu ya Yanga ingawa wameleta pendekezo ila hatukuliafiki" - Mwakilishi wa MDC Agency.

Unadhani nani anastahili kuwa mbadala sahihi wa mwamba Stephane Aziz Ki..!!??
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad