JINAMIZI LA NGONO KWA WASANII....!! BABY MADAHA ANASWA LIVE NA MUME WA MTU.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa sinema na Bongo Fleva, Baby Madaha amenaswa live akiingia na kula bata hotelini akiwa na mwanaume aliyetajwa kwa jina la Joe Kariuki. 


Tukio hilo lililopigwa chabo na shushushu wetu lilijiri wikiendi iliyopita, majira ya usiku mnene katika Hoteli ya De France iliyopo Sinza, Dar ambapo Madaha alionekana akiwa amejiachia vya kutosha kwa mwanaume huyo

Ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilizungumza na Madaha ambaye alikiri kuwa na mwanaume huyo hotelini hapo huku akidai ni meneja wake.

“Joe (Kariuki) ni meneja wangu wa Kampuni ya Candy n’ Candy Records ya Nairobi, Kenya ndiye anayesimamia kazi zangu na tayari nimeachia ngoma moja inayo-hit ya Summer Holiday,” alijitetea Madaha.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo zake aliharibu ndoa ya slim huyo malaya mchafu

    ReplyDelete
  2. ashasema ni meneja wake..nini mambo ya kuandika "
    JINAMIZI LA NGONO KWA WASANII....!! BABY MADAHA ANASWA LIVE NA MUME WA MTU. "
    mclazimishie

    ReplyDelete
  3. Slim gani wewe hapo juu?

    ReplyDelete
  4. Hao wanaume wanaomfuata ndo malaya hao,eti mume wa mtu,mfyuuuuuuuuu kuna cha mtu dunia ya leo?kina lisiti ya manunuzi,mtupishe kule.

    ReplyDelete
    Replies
    1. subiri uje ukojoe dagaa au umwagiwe tindikali ndo utajua utamu halisi wa mume wa mtu kahaba wewe

      Delete
  5. Nyie na nyie somtz mcpende kupublish kitu ambacho hamjui muache usenge mtu kashasema meneja wake bado mnahangaika ya nn ss? Tatzo la wabongo hamna kaz za maana mnasubir umbea kama huu muanze kucoment ujinga tu

    ReplyDelete
  6. Mume wa mtu kwa mkewe,yeye kama anajua ana Mke kwa nini amfuate Single Girl!!!!Madaha wee wapurure tu Awe Meneja,Buzi wee Buruza tu Kwani Kidude si chako huli pii vati Mungu kakupa bure kumnyima Mtu zambi!!!

    ReplyDelete
  7. Tatizo c mme wa mt!aliulizwa akabisha aliruka futi mia!basi kama umeneja wenyewe ndo huu angeangalia na majib ya kujb!hawa wapo kzn na ndo kz inayowapa rizk kwahyo kaumbuka kivyake na umaarufu kunuka!wangap wanatembea na waume za watu?hakuna alomsafi ila ukwel husaidia!

    ReplyDelete
  8. hahha...!!"hakuna mume wa mtu dunia hii,mume wa mtu mkewe anarisiti wapi alimnunua???" mxuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. Kama mnajijua nyie waume za watu mtulize pumbu zenu kwa wake zenu kutwa kutongoza visichana na kwa ukahaba waume za watu wanaongoza,mkome na mchunwe vzr tuuuuuuu.jinyweeee we madaha vitu vya barid acha mkewe nae atakula akirud hom ye c mke.

    ReplyDelete
  10. Hahahahaahahahaha
    Nyie waandishi wa Habari ni Wasenge sana,leo ndio nimeelewa usenge
    wenu,cku hiyo baby yupo hotelini hakuwa na meneja wake tuu,walikuwa wa2 c
    chini ya watano,acheni ujinga kumchafulia mtu jina,nyie ni kioo cha
    jamii,acheni kupotosha wa2 pumbavu nyie..

    ReplyDelete
  11. Great tto hear that the phone is sold with 2 batteries.
    concluded as: fantastic superior material, reined craftsmanship,
    understated nevertheless classy style. Oncce you experience these mistakes you may earn
    to correct it and yes it'll improve you to definitely definitely do better.


    my blog ... the sims 3 dodatki

    ReplyDelete
  12. At this time it looks like BlogEngine is the best blogging
    platform available right now. (from what I've read) Is
    that what you are using on your blog?

    Review my blog: pixel gun cheats

    ReplyDelete
  13. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  14. "As through the air in the dark came a thunder, - a howling horde on ferocious horses, It raced over woods to the wedding house, Intended to visit the bloody performance. In all honesty there are only two similarities Legends of Troy shares with those two titles: hack 'n slash style fighting and history. Riot legal counsel Logan Margulies fielded questions about SOPA and Riot Games in a Reddit AMA (Ask Me Anything) here:.

    Visit my blog; monster legends hack no survey no
    password

    ReplyDelete
  15. Heyy I am so grateful I found your web site, I really found you by accident,
    while I was looking on Yahoo for something else, Regardless I am here now and would just like to say thanks a lot for a remarkable post and
    a all round enjoyable blog (I also love the theme/design), I
    don't have time to read through it all at the moment but
    I haave bookmarked it andd also added iin your RSS feeds, so when I hafe time I will be back to read more,
    Please do keep up the excellent job.

    Also visit my web page; make money commenting on instagram

    ReplyDelete
  16. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Top Post Ad