Harmonize Akerwa na Kauli za Diamond Kuwa Alimtoa Kimuziki, Adai Kujuta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Diamond kumtaja Harmonize na Rich Mavoko na Wasanii wengine kuwashika mkono katika kutimiza miaka 15 ya kazi yake ya muziki, kwa Jeshi @harmonize_tz ameipokea tofauti ameonyesha kuchoshwa na kauli hiyo ambayo amedai imekuwa ikijirudia kwa Simba @diamondplatnumz kumtaja kuwa amemtoa.

Kupitia Insta story yake Harmonize ameandika “Nilimtoa ndio kweli ila inachosha nakaribia kujuta”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad