Duuuh wahaya noma, wabishi mpaka kwenye miji ya watu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Duuuh wahaya noma,wabishi mpaka kwenye miji ya watu.haya sasa ilo no.1 kuna mbili na tatu mpaka kumi upo!!!!!!!
Hilo ni gari lenye number plate ya jina la mwenye gari nchini Uganda..kuweka jina badala ya number kwenye plate number ni gharama kubwa sana nchini humo, watu maarufu kama wanamuziki matajiri ndio huweka majina yao ...huyo mwenye gari jina linaonesha ni mtanzania kutoka maeneo ya Bukoba
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. point of correction hapo kwenye plate number hiyo ni bendera ya kenya si ya uganda,kwa hivyo bwana muganyizi anaonyesha jeuri yake nairobi

    ReplyDelete
  2. Watanzania nooma basi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad