AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hilo ni gari lenye number plate ya jina la mwenye gari nchini Uganda..kuweka jina badala ya number kwenye plate number ni gharama kubwa sana nchini humo, watu maarufu kama wanamuziki matajiri ndio huweka majina yao ...huyo mwenye gari jina linaonesha ni mtanzania kutoka maeneo ya Bukoba
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
point of correction hapo kwenye plate number hiyo ni bendera ya kenya si ya uganda,kwa hivyo bwana muganyizi anaonyesha jeuri yake nairobi
ReplyDeleteWatanzania nooma basi tu
ReplyDelete