Ticker

6/recent/ticker-posts

Huwa Napata Shida sana Nikikutana na Wanawake Wenye Hii Tabia

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!

Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha IFM kinamsogelea eti hes caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??

By  Seth De Jesus Giovanni

Post a Comment

13 Comments

 1. Damn that was deep! Love the message.

  ReplyDelete
 2. Jamaa ametisha sana kwa ufupi kawachana sana hasa kwenye suala la kupenda ready made,mademu wengi siku hiz wanapagawa na mtu wakimwona keshafanikiwa hawataki kuanza pa1

  ReplyDelete
 3. Ee bhana eeh mbona hapo umegusa kabisa sekta yenyewe! Yani ni bonge la ujumbe, kijana wa watu mtanashati amenyonyoka tu kisa bado ajapata money na kitambi cha suti bado hakijamtoka basi anaitwa "kid"

  ReplyDelete
 4. Nimeipenda hiyo kina dada wa siku hizi huwa wanadandia dandia treni kwa mbele hawajui next time wanaweza kufa ...ole wao wanaokula bila kufanyakazi

  ReplyDelete
 5. Damn I like it!! What a message!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 6. dah mdau umenigusa
  kuna manzi alishanitolea njee kisa umri

  ReplyDelete
 7. Wape vidonge vyao wakinuna wakicheka ni shauri zao kudadeki hawa wapenda chips kuku na Heineken/Champagne za kununuliwa na wanaume mademu dizaini hii mimi nawaita"FACEBOOK"generation

  ReplyDelete
 8. Kuna na wale wanaotaka real men wakati wao wenyewe sio real women. sura zao jipam powder tupu na hata hawana akili ya kutafuta hata buku.

  ReplyDelete
 9. This comment has been removed by a blog administrator.

  ReplyDelete
 10. Hahahahhaha daaah nimecheka jamanii mi ni mwanamama wape wape...

  ReplyDelete
 11. Life starts at 40!

  ReplyDelete
 12. Mmbo naitaji jimama wakunilea awe ananiudumia ananipa mapenz matamu na mwenye pesaa kama upoo nitafte kwa nmb hii umri wangu miaka 23 0712711918

  ReplyDelete
 13. Nmb hii naitaji jimama wa kunilea na mwenye pesa nitafte kwa nmb hii kma upoo 0712711918

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)