Perfume kali kupitiliza ni utanashati au ulimbukeni?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna jambo huwa linanitatiza. unakuta mtu anajipulizia perfume kali kupitiliza, akiingia ofisini watu mnaanza kupiga chafya. akiingia kwenye daladala, basi ukishuka tayari una mafua, akipita coridoni lazima aache alama siku nzima.
Hivi kweli huu ni ustaarabu? hivi kila mtu akipuliza perfume hivyo kutakalika kweli?
Watu tujirekebishe.
What is good for u may not be good for everyone.

Good day.......
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu tuko wa aina tofauti na kila mtu ana chaguo lake. Kuna anaependa vikali na mwingine visivyo vikali. And that's why nyingine zina harufu kali na nyingine hazina ili kuridhisha watu wote bila tabaka. Mimi naona co ulimbukeni

    ReplyDelete

Top Post Ad