Aibu: Wasanii washindwa kumchangia Matumaini Tsh.1,000,000/= Arejeshwe Dar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali ya kushangaza wasanii nchini wa maigizo na wale wakuchekesha wameshindwa kumsaidia Tsh. 1,000,000/= msanii mwenzao wa maigizo Tumaini Martin 'Matumaini' nauli ya kumrejesha Dar es salaam toka nchini Msumbiji ghalama yake mpaka afike Dar es salaam ni Milioni moja tu, kila msanii aliye kuwa akifuatwa kuomba mchango alikuwa anaruka kihunzi wengine walifika mbali na kudai eti alienda kwa Umalaya wake.
    Jamani afya kwanza, inavyo onyesha hawa wasanii wanasubiri Matumaini afe ili wauze sura kwenye msiba na kuunda kamati za kuratibu mazishi ambako inajulikana huwa wanapiga pesa ndefu kama tulivyo shuhudia kwa wasanii walio tangulia mbele zahaki kama marehemu Kanumba, Marehemu Sajuki, marehemu Sharobaro na wengineo.
    Kama umeguswa tafadhari mchangie Matumaini kupitia kwa Mike Sangu mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania unaweza kutuma mchango wako kwa kupitia tigo – pesa kwa namba 0718 951 355.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad