Chocolate Zamsababishia Wema Sepetu Matatizo Ajisalimisha Kwa Doctor

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.

Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities….. oh god… does this mean no more chocolate for me” ameandika
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo mdada n mku**d kila cku haish kwenye khabari..2nataka na cku akifirwa vibaya aseme

    ReplyDelete
  2. du. Huyo wa hapo juu. Maneno yake, daaaaah. Noma kwelii mshkaji wangu

    ReplyDelete
  3. Huyu mdada masifa sana couse kila kukicha yupo kwenye mawebsite sifa2 mm simpendi na hizo Sifa yani...

    ReplyDelete
  4. nyie anony hapo juu kwani tatizo liko wap?yeye kaandika kwny ukurasa wake wa instagram kama nyie mnavyoandika kwnye kurasa zenu za fb hajaomba blogu wala magazeti yamuandike, media ndo zikome kumfatafata cause she is leaving her life eissh!

    ReplyDelete

Top Post Ad