AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities….. oh god… does this mean no more chocolate for me” ameandika
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
huyo mdada n mku**d kila cku haish kwenye khabari..2nataka na cku akifirwa vibaya aseme
ReplyDeletedu. Huyo wa hapo juu. Maneno yake, daaaaah. Noma kwelii mshkaji wangu
ReplyDeleteHuyu mdada masifa sana couse kila kukicha yupo kwenye mawebsite sifa2 mm simpendi na hizo Sifa yani...
ReplyDeletenyie anony hapo juu kwani tatizo liko wap?yeye kaandika kwny ukurasa wake wa instagram kama nyie mnavyoandika kwnye kurasa zenu za fb hajaomba blogu wala magazeti yamuandike, media ndo zikome kumfatafata cause she is leaving her life eissh!
ReplyDelete